JINSI YA KULIMA FIWI

Fiwi ni aina flani ya maharage na zao hili hupenda sana kulimwa mkoa wa
kilimanjaro baadhi ya maeneo ambayo yana ukame kwa sababu zao hili
hiuistahimili sana ukame kwa muda mrefu.Na soko lake sanasana ni Kenya pamoja
na India wengi hupenda kutumia kama chakula lakini kenya hupenda kutengenezea
biskuti.
MBEGU ZA FIWI HUPATIKANA WAPI?
Mbegu hizo hupatikana sana mkoa wa Kilimanjaro
Na Tanga. Kwasababu ndizo sehemu zinazolima sana zao hilo na wakulima wanapomaliza
mavuno huwa wanalihifadhi mbegu mpaka msimu
mwingine tena wa kulima tena fiwi.
YANAKAA SHAMBANI KWA MUDA GANI?
Zao hili huwa linakaa shambani kwa
takribani miezi mitatu na nusu au minne inategemea na ulivyowahi kupanda zao
hilo lakini pia inategemea hali ya hewa.
YANAUZWA BEI GANI?
Bei ya zoa hili huwa inategemea kwa muda
wa mavuno na muda wa kupanda hivyo hali ya sasa ya bei kwa mkoa wa Kilimanjaro
na baadhi ya maeneo mkoa wa Tanga ni:
Kilo moja sh:
1500.
Kilo ishirini
sh: 30000.
Gunia ni sh:180000.
KWA MAELEZO ZAIDI NITAFUTE WATSAP (0677494573)FACEBOOK(ZUHURA AMANI) EMAIL( zuhuraamani24@gmail.com) NA TWITER(
ZUHURA AMANI).
Vipimo ni vipi katika upandaji
ReplyDeleteKinderua
DeleteGood
ReplyDeleteMimi ni mkulima wa ngwara (fiwi)maeneo ya babati je Bei yake ni shilingi ngapi kwa kilo Bei a sasa
ReplyDelete