Bariadi Wampa Heshima Makamu Wa Rais...... Barabara Yapewa Jina La Samia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akishuhudia barabara iliyopewa jina lake Bariadi mjini ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake mkoani Simiyu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akishuhudia barabara iliyopewa jina lake Bariadi mjini ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake mkoani Simiyu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka pamoja na Watoto wa Mji wa Bariadi mara baada ya hafla fupi ya Barabara kupewa jina la Samia Suluhu Avenue. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments: