Header Ads

Breaking News
recent

*FURSA YA KIPEKEE KWA WAJASILIAMARI WOTE*

TANAKH FM RADIO IMEKUANDALIA NAFASI YA MAFUNZO YA NAMNA BORA YA UFUGAJI KIBIASHARA, ILI KUPATA FAIDA NA KUJIKWAMUA KIUCHUMI.



NA KWA WALE WOTE WANAOHITAJI KUJIFUNZA UTENGENEZAJI WA SABUNI, 

KEKI,


VIPODOZI 
HAPA NI MAHALI PAKE.

JIANDAE SASA JIANDIKISHE SASA 

* MAFUNZO HAYA YATAKUPA NAFASI YA KUPATA CHETI CHA MAFUNZO

*KUJUA NA KUUNGANISHWA NA MASOKO YA BIASHARA YAKO. 

* MBINGU ZA KUPATA MTAJI NA KUKUZA KIPATO CHAKO

* NAMNA YA KUFANYA BIASHARA YAKO IKUE TOKA CHINI.

FURSA SI NDIO HII SASA NI SIKU YA
 JUMAMOSI TAREHE 1 MWEZI WA SABA 2023,

MUDA NI SAA 3 ASUBUHI HADI SAA 9 ALASIRI. 

KATIKA UKUMBI WA UMOJA HOSTEL MOSHI MJINI KARIBU NA AKIBA BANK,

JISAJILI SASA KWA SH 15,000/- ZA KITANZANIA 

NAFASI NI CHACHE PIGA SIMU - 0717 003 020

WATU WOTE MNAKARIBISHWA.

No comments:

Powered by Blogger.